MTUME MESHAK - CHAKULA CHA MKRISTO --KUWENI MAKINI NA CHAKULA HIKI!-- (DANIEL 1:12, WAGALATIA 2:11, MARKO 1:6)
Sio vyakula vyote ni safi. Kwa baadhi ya vyakula hata si vyakula kabisa. Uwe makini na kile kinacho ingia ndani ya tumbo lako. Usije ukala machafuko ya mapepo.