FORGIVENESS IS A GIFT
[Mathew 18:7, Mark 11:24-26]
Forgiveness is the first principle of receiving your requests from God. For when you forgive your offenders He forgives your trespasses and releases your answered prayers thus you get to receive more blessings when you give than you receive from others.

MSAMAHA NI THAWABU
[Mathayo 18: 7, Marko 11: 24-26]
Msamaha ni kanuni ya kwanza ya kupokea ombi lako kutoka kwa Mungu. Kwa maana unapowasamehe waliokukosea anakusamehe makosa yako na anaachilia majibu ya maombi yako hivyo unapata baraka zaidi unapotoa kuliko unapopokea kutoka kwa wengine.